Wednesday 17 February 2010

Pool



Oya eti wansema zenji pool haichezwi ona vijana wanavyochakarika

Ona jamaa alivyowabeba



Hey! Brother usidhani wananunulika kwa mwananchi wa kawaida, wanahitaji mihela ila mlala hoi huambulia tonge kwa tonge, lakuosha na upapa.

Friday 12 February 2010

About the Workshop

Personal I want to thanks, MISA-Tan and VIKES for their decision to organize this wonderful and valid workshop towards the Zanzibar Journalists.

Hence thanks to Mr. Peik Johannson and Mr. Majid Mjengwa for their facilitation of the workshop.

Actually we learnt a lot of things and some of them it will remain as my memorable which will take along time to disappear in my head. May be to mention of it was the topic on how to create your own blog.

We learnt a lot of things some of them to search for materials, facts quotes, and so for.

MISA- Tan and VIKES also should consider to help us on other area such as how to create website.

The Nestle Boycott


The Nestle Boycott
In order to sell more of its infant formula in third world countries, Nestle would hire women with no special training and dress them up as nurses to give out free samples of Nestle formula.

The free samples lasted long enough for the mother's breast milk to dry up from lack of use. Then mothers would be forced to purchase the formula but, being poor, they would often mix the formula with unsanitary water the amount of formula by diluting it with more water than recommended.

The result was that babies starved all over the Third World while Nestle made huge profits from this what so called predatory marketing strategy.

In 1977, a world-wide boycott was launched against the Nestle Corporation, which was found to be the most unethical of the several companies selling baby formula at the time.

Consumers all across the world stopped purchasing Nestle products. The World Health Organization drafted the International Code on the Marketing of Breast Milk Substitutes, which was signed by much of the world in the early '80's and finally by the United States in 1994.

Presently, the International boycott of Nestle products covers 18 countries: Australia, Canada, Finland, France, Germany, Ireland, Italy, Luxembourg, Mauritius, Mexico, Norway, Philippines, Spain, Sweden, Switzerland, Turkey, UK and USA. The International Boycott is presently being coordinated by Baby Milk Action.

Nestle, is the world's largest baby food company and increases it's profits by promoting artificial infant feeding in violation of the W.H.O. code that has been signed by the US and many other nations. Nestle knows that once a bottle has become between a mother and her child breastfeeding is more likely to fail and the company has gained a customer. Because of Nestle's continued disrespect for the International Code and infant health the best thing you can do is stop purchasing Nestle products.
For more information about the boycott, and for recent news of code violations and more, contact http://www.breastfeeding.com

Thursday 11 February 2010

Siku ya Nne

Katika siku ya nne ya programu ya mafunzo ya Internet kwa waandishi wa habari, tulifunzwa jinsi ya kuunganisha blogi yako na za watu wengine.

Mataalamu wetu Peik Johansson alitufundisha njia ambazo unaweza kuunganisha blogi yako na watu wengine sambamba na yako kuunganishwa na watu wengine.

Aidha mtaalamu huyo aliendelea kutoa kazi za jinsi ya kutafuta habari mbali kwenye Internet lakini katika siku hiyo darasa lilijikita zaidi kwenye ufafutaji wa habari za michezo.

Mbali ya kusaka habari za michezo pia, wanafunzi tulipata fursa ya kuandikia maelezo na Profesa wa Kizanzibari Abdulrazak Gurnah, Fredie Mercury ambao ni Wazanzibari mashuhuri na waliojipatia umaarufu mkubwa sana nje ya visiwa hivi.

lakini pengine ukiwauliza Wazanzibari na pengine Watanzania waliowengi wanaweza wasiwaelewe watu hawa waliojizolea sifa na tunzo kadhaa za uandishi wa vitabu na muziki.

Aidha pia katika kusaka habari hizo tuliangalia tamasha la Sauti za Busara ambalo limefunguliwa rasmi hapa Zanzibar.

Katika mafunzo yake alisisitiza haitakiwi kwa mtu yeyote kunukuu kama ilivyo kutoka kwenye mtandao, blogi ama chapisho lolote la mtu mwengine.

You know Prof. Gurnah


ABDULRAZAK Guarnah is a Professor and famous Tanzania novelist, currently the Lecturer at Kent University in Uk.

Among the common books wrote by Prof. Guarnah include Memory of Departure (1987), Pilgrims Way (1988), Dottie (1990), Paradise (1994), Admiring Silence (1996), By the Sea (2001) and Desertion (2005).

Prof. Guarnah received several awards for his writing among those, short listed for the Los Angeles Times Book Award and also won the Radio France International 'Temoin du Monde' Prize.

He was bon Zanzibar in 1948 and left the Islands to Uk in 1968 for higher learning studies, he married in Ukm became a teacher and visited his native country after 20 years.

Also Prof Guarnah is associate editor of the journal Wasafiri. For more information visit www.contemporarywriters.com

Wednesday 10 February 2010

Greeb Belt Movemenet


Green Belt Movement is a non profitable organization. It established by Kenyan famous enviromentalist and 2004 Nobel Prize winner Prof. Wangari Maathai in 1977.


The movement focus to involve, the Kenyan to protect the enviroment in order to improve the livehoods and security of the Kenyan society through the enviromental impacts which affect various people in various place around the world.




Green Belt is a national wide in Kenya, where as its programmes reachies in most of the Kenyan districts. For more information visit http://greenbeltmovement.org/

Mzigo wa Terry

http://Google


Ebwana eeh! Huyu ndiye mrembo anayeitwa Vanessa aliyezua sekeseke hadi John Terry kuvuliwa unahodha wa timu ya taifa ya Uingereza. Binti huyo alikuwa ni demu wa rafiki wa Terry, Wyane Bridge ambaye kwa hivi sasa anakipiga katika klabu ya Manchester City.(The Sun).

Tuesday 9 February 2010

Mzee Rufinus (75)

Mzee Rufinus (75), akiwa na wanafunzi wenziwe wa skuli ya sekondari ya Kuresoi huko nchini Kenya. Mzee huyu ni mganga wa jadi na anamini kwenda kwake shule pamoja na umri mkubwa alionao kutamsaidia kupata wateja wengi wanaohitaji kutibiwa. (Daily Nation)

Tumejifunza nini

Katika workshop hii inayondelea tumejifunza mambo mbali mbali ikiwemo jinsi gani unaweza kupata huduma kadhaa kwa njia ya Internet.

Huduma hizo ni pamoja ununuaji wa tiketi za treni na ndege kupitia kampuni mbali mbali, aidha tumejifunza namna ya kufanya manunuzi kupitia sight mbali mbali za Internet.

Mbali na hayo pia tumejifunza namna ya kufungua na matumizi ya blog, kuifanyia marekebisho blog na kufanya uhariri katika sight kama vile Wikipedia.

Siku ya pili tulijifunza umhimu wa Interet kwa waandishi wa habari na kujionea mitandao mbali mbali ikiwemo ya kimataifa ambayo inamuwezesha muandishi kupata habari mbali mbali .

Hivi eti nyumba hii nayo haiwezi kuwa maajabu ya dunia?

Umeshtukizia mshkaji

Nadhani madogo mtakuwa hamna habari ngingi kuhusu yule kamjamaa miongoni mwa wajamaa wanaowania kiti cha kukaa ikulu ya visiwa hivi.

Kamjamaa huyo amekuwa akiendesha kampeni chafu na za chini chini huku akiwachafua wenziwe ambao nao wanakitaka kiti hicho.

Tafadhali kibabu usiniulize nani huyo lakini madau waweza kuumiza hadi kupasua kichwa then mwisho utapata jawabu au vipi.