Nadhani madogo mtakuwa hamna habari ngingi kuhusu yule kamjamaa miongoni mwa wajamaa wanaowania kiti cha kukaa ikulu ya visiwa hivi.
Kamjamaa huyo amekuwa akiendesha kampeni chafu na za chini chini huku akiwachafua wenziwe ambao nao wanakitaka kiti hicho.
Tafadhali kibabu usiniulize nani huyo lakini madau waweza kuumiza hadi kupasua kichwa then mwisho utapata jawabu au vipi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment