Katika workshop hii inayondelea tumejifunza mambo mbali mbali ikiwemo jinsi gani unaweza kupata huduma kadhaa kwa njia ya Internet.
Huduma hizo ni pamoja ununuaji wa tiketi za treni na ndege kupitia kampuni mbali mbali, aidha tumejifunza namna ya kufanya manunuzi kupitia sight mbali mbali za Internet.
Mbali na hayo pia tumejifunza namna ya kufungua na matumizi ya blog, kuifanyia marekebisho blog na kufanya uhariri katika sight kama vile Wikipedia.
Siku ya pili tulijifunza umhimu wa Interet kwa waandishi wa habari na kujionea mitandao mbali mbali ikiwemo ya kimataifa ambayo inamuwezesha muandishi kupata habari mbali mbali .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment